1
/
2
Ultra Powerful Magnetic Phone Mount
86 900 TSh
95 000 TSh
Ni rahisi sana kutumia! Bandika holder kwenye dashboard au kioo cha gari, weka plate ya magneti nyuma ya simu yako, kisha leta simu karibu na holder. Magneti yenye nguvu itashikilia simu yako kwa usalama, na unaweza kuizungusha 360° kwa pembe unayopenda.
